AMCOS MBOZI KUCHUNGUZWA-MAJALIWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Ofisi ya  Halmashauri ya Wilaya ya Momba lililopo Chitete mkoani Songwe, Februari  14, 2023. Kulia wake ni Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Waziri Kindamba (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya